Online Instagram Content Viewer sGeneralsta
  1. Homepage
  2. burudanindomahalapake

#burudanindomahalapake hashtag

Posts attached with hashtag: #burudanindomahalapake

hassanalawiy (@hass255) Instagram Profile Photohass255

hassanalawiy

 image by hassanalawiy (@hass255) with caption : "@pixelspro_films @directorsniper @khalfani_khalmandro @kayumbaasosie
#burudanindomahalapake 
#musicislife 
#burudani_yen" - 1972118571630926762
ReportShareDownload383

@pixelspro_films @directorsniper @khalfani_khalmandro @kayumbaasosie #burudanindomahalapake #musicislife @ishervana @roryapixels_pro 👉 @robhinedson #photographer #photography #outdoorphotography #portraitmode #portrait #graduation #graduationpictures #ceremony #education #african #tanzania🇹🇿 #canonphotography #retouch #film #model #malemodel #finest #menmodels #graduationpictures #Couple #Love #saltbae #tumewasha💥 #nairobi

Evance Haule. (@mc_ejo) Instagram Profile Photomc_ejo

Evance Haule.

 image by Evance Haule. (@mc_ejo) with caption : "💥Ladies and gentleman 
Its moment to celebrate new couple in town
💕ALEX + OLIVER = LOVE ❤💖
Its perfect time to announce " - 1899708819376559970
ReportShareDownload044

💥Ladies and gentleman Its moment to celebrate new couple in town 💕ALEX + OLIVER = LOVE ❤💖 Its perfect time to announce that, they are OFFICIALLY Mr & Mrs ALEX GAMUYA #mc_ejo #burudanindomahalapake

Evance Haule. (@mc_ejo) Instagram Profile Photomc_ejo

Evance Haule.

 image by Evance Haule. (@mc_ejo) with caption : "All the way from Ifakara
#AlexwedsOliver
#bethlehemhall
Vibe kama loteeeee.....
#watapatatabusana 
#shereheyenyeviwango " - 1899679919196008163
ReportShareDownload470

All the way from Ifakara #AlexwedsOliver #bethlehemhall Vibe kama loteeeee..... #burudanindomahalapake #ifakara

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) Instagram Profile Photostorynzuriiplanet

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹

 Instagram Image by Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) with caption : "#BLUEMONDAY #MONDAYINSPIRATIONS

SIKU ZOTE KATIKA MAISHA UKITAKA HESHIMA YAKO ISISHUKE JARIBU KUWA MSIRI WA SHIDA ZAKO, " at Dar es Salaam, Tanzania - 1854891967844857782

#BLUEMONDAY SIKU ZOTE KATIKA MAISHA UKITAKA HESHIMA YAKO ISISHUKE JARIBU KUWA MSIRI WA SHIDA ZAKO, KWANI SIO KILA UMUELEZAE SHIDA ZAKO ANAMIPANGO MIZURI NA WEWE. UTAKUJA ZARAULIKA BUREEEEEEEEEEEEE #RORYATV #BURUDANINDOMAHALAPAKE

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) Instagram Profile Photostorynzuriiplanet

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹

 Instagram Image by Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) with caption : "Simulizi:  MSITU WA SIRI 01
Mtunzi: YOZZ PIANO MAYA

Baada ya baba yake DAVID kufariki..yapata miezi kumi sasa""" Nyumba" at Dar es Salaam, Tanzania - 1853673072349710124

Simulizi: MSITU WA SIRI 01 Mtunzi: YOZZ PIANO MAYA Baada ya baba yake DAVID kufariki..yapata miezi kumi sasa""" Nyumba yao ilipigwa mnada baada ya mama David kushindwa kulipia deni alilokopa BENKI marehemu mume wake....baada ya nyumba hiyo kupigwa mnada mama David aliamua kwenda kuishi kwenye nyumba ya kupanga,, wakati huo DAVID alikuwa anaumri upoatao miaka mitano",,baada ya kukaa miaka kadhaa alishidwa kumudu kulipia kodi ya nyumba kutokana na kipato chake kuwa kidogo""hivyo hakikuweza kutosheleza kulipia kodi ya nyumba na kutosha mahitaji mengine ikiwemo ada ya kumsomesha David. hivyo mama DAVID alilazimika kurudi kijijini kutokana na ugumu wa maisha huko mjini" ndipo alipoamua kuuza kila kitu cha ndani kwa lengo la kujipatia pesa ambayo itamsaidia kujikimu huko kijijini. ******* alifanikiwa kuuza vitu hivyo, alipata pesa zipatazo milioni mbili na laki tatu,, walifunga safari kutoka dar es salaam kuelekea igunga mkoani Tabora, mama david alionekana kuwa mnyonge na uso wake ulionekana ni mtu mwenye huzuni,, alikuwa akifikiria sana jinsi ya kwenda kuanzisha maisha mapya tena ya kijijini'' roho ilimuuma sana kutokana alikuwa ameshayazoea maisha ya mjini..pia alimkumbuka marehemu mume wake ambaye ndiye baba wa mtoto wake huyo wa kiume aitwae david,, alikumbuka vitu vingi alivyovifanya na baba David enzi za uhai wake... machozi yalimtoka....David alimuangalia mama yake kwa huruma,, ndipo David aliamua kumfuta machozi mama yake" mama Daivid alishindwa kujizuia alimtazama mwanae kisha akalia kwa uchungu huku amemkumbatia David...wakati huo David hakuelewa kitu chochote kutokana na umli wake kuwa mdogo..aliona kawaida kwa sababu alizoea kumuona mama yake akilia kila siku" dereva wa basi hilo aliliwasha gari na safari ya kuelekea Igunga ikaanza,, ****** watu (abiria) waliokuwemo ndani ya basi hilo walimtazama kwa nyuso za mshangao mama David kwa sababu alikuwa bado analia..wengiwao walihisi labda kapatwa na msiba hivyo zilisikika sauti za watu tofauti tofauti zikimwambia pole.. mama Davidi alijikaza na kuacha kuendelea kulia. #burudanindomahalapake #RORYATV

makame 🔴 (@makame_symon) Instagram Profile Photomakame_symon

makame 🔴

ReportShareDownload011

tupate #burudanindomahalapake tbt 2005 io👀👀🇯🇲

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) Instagram Profile Photostorynzuriiplanet

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹

 Instagram Image by Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) with caption : "MAPIGO YA MOYO 19

Walitafuta jina la Neila na baada ya kumuona alicheka.
“sio mbaya lakini, ameshika nafasi ya 6.” Alio" at Dar es Salaam, Tanzania - 1841535295751567754

MAPIGO YA MOYO 19 Walitafuta jina la Neila na baada ya kumuona alicheka. “sio mbaya lakini, ameshika nafasi ya 6.” Aliongea kwa Dharau baada ya kuona kampita masomo yote tena kwa point nyingi. “hongera, umekuwa mtu wa 6.” Aliongea Frank baada ya kumuona Neila amejiinamia. Neila alinyanyuka akiwa na sura nyingine tofauti na ile aliyoizoea. Hali iliyomfanya Frank ashangae. “ hapa shuleni kila mtu ameletwa na mzazi wake, so matokeo yangu hayakuhusu. Ni nani amekuambia alikua anahitaji umuangalizie matokeo yake?.. kuongoza mitihani isiwe shida kwa wengine. Siku nyingi sana nilikua siipendi tabia yako ya kujisikia ndio maana nikakwambia ufute yako. Nikafikiri umejirekebisha kumbe ndio tabia uliyozaliwa nayo. Unafikiri sijakusikia ulipokuwa unajitamba eti nilifikiri nimepata mpinzani kumbe yule dada boya tu… acha shobo mtotoo wa kiume, fuata yako halafu tusijuane coz tumekutana chuoni tu hapa.” Maneno yale ambayo yalisika na umati mkubwa waliokuwa pale kutokana na Neila kuongea kwa nguvu, ndio kulikomfanya aumie sana rahoni na kupata aibu kubwa. Furaha yote aliyokuwa nayo juu ya kufaulu vizuri iliyeyuka kama barafu kwenye jua kali. Aliulaumu sana mdomo wake kwa kuropoka mambo ambayo yangemshusha maksi kwa Neila. Tukio hilo lilimkosesha raha Frank. Hakupenda kumchukiza Neila hata kidogo. Alijua kuwa kumuuzi binti huyo ni sawa na kujipa adhabu kali inayomuumiza mwenyewe. Urafiki ukafa kinamna hiyo. Hakukua na salamu wala maongezi yoyote kati yao. Awapo Frank sehemu yoyote, basi Neila hakusogeza miguu yake pale. Na hata kama Neila alikua anapiga story na watu mbali mbali, basi akija tu Frank yeye huondoka eneo hilo. Unyonge mkubwa ulimpata Frank na kujiona kuna kitu anakosa kutoka katika maisha yake. Alijiridhisha kwa kuwachukua marafiki wa karibu wa Neila na kutembea nao. Hiyo ndio ilizidi kumpunguzia maksi Frank na kuzidi kuchukiwa na Neila. Uwezo wake wa kusakata kabumbu ulipungua kiwango siku hadi siku. Kuna wakati hakua msaada kabisa kwa timu yao ya chuo. Kocha wao alimuita na kumuuliza ni nini tatizo. #itaendelea #RORYATV #burudanindomahalapake

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) Instagram Profile Photostorynzuriiplanet

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹

 Instagram Image by Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) with caption : "Story: PENZI LA MATESO 43  Huko barabarani mudi hauachia peda ilikua ni mguu na peda bila kuangalia mbele.  Alikunja kon" at Dar es Salaam, Tanzania - 1828438471545409384

Story: PENZI LA MATESO 43 Huko barabarani mudi hauachia peda ilikua ni mguu na peda bila kuangalia mbele. Alikunja kona moja na kumparamia mtoto wa watu aliyekua hajamuona. Kilichotokea pale ni beki si beki cjui ilikua ni nini ila kilio cha mtoto yule ndio kilichosikika. Mudi akiwa kadondokea mtaroni aliinuka haraka na kuangalia huku n kule mtoto alikua chini akilia. Alimuangalia haraka na kugundua alikua kaumia vibaya San mtoto yule. Nani abaki alitoka mbio huku akisukuma baskeli yake iliyokua imeharbika kidogo tu. Watu walisogelea pale kwa sababu ilikua ni uchochoron walimchelewa mudi ambaye alifanikiw kukimbia. Kati ya watu waliofika pale japo walichelew alikua ni mke wake. Chiku akiwa kaongozana na anitha walifika pale na kushangaa lile tukio. Maskini mtoto wa watu alikua kavunjika mkono wa kulia. Alichokua anadai mtoto yule baada ya kuulizwa alisema kagongwa na baskeli. "Kweli kuna watu wana laana yaani wanamgonga mtoto kama huyu afu anakimbia alaanike zaidi huko aliko" Wengi walimlaani sana yule aliyemgonga yule mtoto anitha na chiku walisikiliza tu na wao kusikitika kweli kwa kuona vile. Safari ya mudi ilikua ni kurudisha baskeli ya watu kwNza "Vipi mbona hivyo baskeli ipo hivi afu we mwenyewe hueleweki cjui ulitumbukia wapi" "We tengeneza baskeli yako afu utanambia umetumia sh ngapi nikirudi ndio nitawaambia kilichonikuta saizi niacheni kwanza" Aliongea huku akiondoka. Huku nyuma vicheko tu ndivo vilivyosikika maana alichekesha suruali ilikua haiangaliki na wala haitazamiki kama ni suruali kweli au ni sketi. "Hahaaa baba leo umeona cha moto umefumaniwa nini" Waliongea huku wakiwa hawana mbavu kwa kucheka nusu wamwage meno yao chini. Mudi hakuwasikiliza alitafta vichochoro kuwahi nyumbani kabla mkewe hajarudi. Njiani anitha na chiku walizidi kutembea huku wakiendelea kuongelea lile tukio la mtoto kugongwa. "Yaani ningemjua yule aliyemgonga yule mtoto hata matuc angekula maana kamuumiza sio kidogo" "Ndio hivyo kakimbia ila watu wengine wana nini cjui utakuta ni mtu mzima na akili zake tu" Waliongea bila kujua wanamzungumzia mudi bila kujijua. #burudanindomahalapake

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) Instagram Profile Photostorynzuriiplanet

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹

 Instagram Image by Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) with caption : "Story: PENZI LA MATESO 41

Mwandishi: DEUS WA MASTORY

Chiku alichomwambia ni yupo peke yake akifanya kazi ndogo2 tu hak" at Dar es Salaam, Tanzania - 1827687476120782848

Story: PENZI LA MATESO 41 Mwandishi: DEUS WA MASTORY Chiku alichomwambia ni yupo peke yake akifanya kazi ndogo2 tu hakuwambia yuko njiani anaenda kwa mdogo wake maana alijua hatokawia kurudi. "Sawa mke wangu pole kwa kua peke yako mi nipo bize kweli leo huku cna hata mda wa kuchomoka hapa hata dakika moja" Aliongea mudi na kukata cm. "Sasa huyu yupo nyumbani ngoja nichomoke Mara moja naenda kumcheki mdogo wake dakika moja najua atakua nyumbani tu kwa nini nijitese huku naweza kwenda" Aliongea mudi. Haraka aliazima baskeli chap na kuanza safari ya kwenda kwa Anita. Anitha bado alikua akimshangaa Davis hakumuelewa kabida ujio wake mle ndani. Davis nae alimwangalia anitha na kuona liwalo na liwe wacha afunguke tu kama alivokua kapanga "Anitha mi nina ombi moja kwanz natanguliza msamaha kama nitakachoongea kitakuudhi" "Usijali ongea tu mi nakuckiliza" Davis alijikoholesha kuweka koo vizur kisha alianza kufunguka. "Nimejikaza sana nimeshindwa kabisa naomba niseme ukweli nakupenda sana dada angu plzz naomba nielewe kwa hili" Kufika hapo anitha alitoa macho kama alikua haamini kile alichokua akiambiwa. Kisha alitabasam na kujifanya kama hajui kitu chochte kuhusu kupenda "Sawa unanipenda nami nakupenda maana binadam tunatakiwa kupendana" Hili jibu huwakasirisha wanaume wengi sana na kama wale wasioweza kukaza zaidi hujikuta wanaishia hapohapo. Davis hakukubali alikaza mbaka mwisho "Sawa licha ya kunipenda kama kaka na dada ila mi naomba tuwe wapenzi" Anitha alikaa kimya kama akifikiria kitu. Alikumbuka kitu haraka sana kua dada yake alisema anaweza kumtembelea alimuangalia davis akiwa kajiachia pale kifua wazi. Aliogopa sana kama dada yake angemkuta na davis ingekuaje na kuchanganya na yale maneno waliyokua wanaongea aliinuka haraka haraka na kuchungulia mlangoni akiamini dada yake alikua mlangoni pale akiwasikiliza. Baada ya kuona hakuna mtu alishusha pumzi nzito.... #burudanindomahalapake

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) Instagram Profile Photostorynzuriiplanet

Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹

 Instagram Image by Shaaban Habibu🇹🇿🇰🇪🌹 (@storynzuriiplanet) with caption : "Story: PENZI LA MATESO 40  Mwandishi:  DEUS WA "Daaah huyu kaka kifua chake kinanifurahisha sana ngoja nami nikafue nion" at Dar es Salaam, Tanzania - 1827641260922147773

Story: PENZI LA MATESO 40 Mwandishi: DEUS WA "Daaah huyu kaka kifua chake kinanifurahisha sana ngoja nami nikafue nione zaidi" Alichukua nguo zake kidogo na kutoka Nazo. Walisalimiana na Davis vizur tu. Ubaya wa Davis alishazoea kukaa kifua wazi mida mingi akiwa nyumbani hivyo hakuona ubaya kabisa aliendelea na kAzi yake ya kufua bila kujali kitu. Anita akiwa kashanunua sabuni yake aligeukia upande mwingine kabisa "Ili asijue kua namchungulia ngoja nigeukie uku sasa" Alijisemea anitha akimgeuzia mgongo Davis bila kujua alikua anasababisha mitego kwa kijana wa watu. Kazi iliendelea anitha akipiga jicho la kuibia kumchungulia Davis huku Davis nae akipata wakat mgumu maana aliona wowowo la anitha vizur tu. "Daah huyu dada nae mbona ana majaribu sana khaa kunigeuzia kalio ndio nini" Aliwaza Davis moyoni mwake huku anitha nae akiwaza "Huyu kaka nae anamaksudi kweli Sasa kwa nini anafua kifua wazi hajui anatutega tu" Kila Mtu alijua mwenzie kafanya kusudi lengo amtege tu. Baada ya anitha kumaliza kufua aliingia chumbani kwake huku Davis nae akiwa chumbani kwake "Hivi uanaume wangu upo wapi mbona nadharaulika sana mbaka mtu anakuja kunioneshea kalio lake mmmh huyu atanizadhau sana sasa ngoja Leo najitoa mhanga liwalo na liwe tu" Alisema Davis akiwa chumbani kwake. Na hakutania tena akiwa kifua wazi vilevile alitoka hadi mlangoni kwa anitha. Aligonga na alitha alitoks kumsikiliza "Naomba tuingie ndani Nina maongezi kidogo nawe" Alisema Davis kwa kujiamin kweli. Anitha alibaki kumshangaa tu na kuamua kumpisha tu aingie. Davis bila kuchelewa aliingia haraka na kukaa kitandani. Nyumbani chiku alimaliza kazi zake na kuamua kutoka kwenda kwa mdogo wake "Nisije kukaa tu nyumbani kumbe Dogo kazidiwa kweli huko maana Leo cjamuelewa kabisa" Alipiga hatua zaidi kufuata nyumba akaayo anitha. Mudi akiwa katika mihangaiko yake aliona kama hawezi kabisa kwa Siku ile. Alimmisi sana anitha alitamani kumuona japo dakika moja tu. Alichofanya ni kutoa simu yake na kumpigia mkewe akijifanya kuulizia kama yupo pekeyake. #burudanindomahalapake